1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wa Ulaya waathiriwa na mfumuko wa bei

10 Novemba 2022

Raia mmoja kati ya wanne barani Ulaya anakabiliwa na mtikisiko wa kiuchumi unaotokana na mfumuko wa bei huku wengine wakishindwa hata kupasha joto majumba yao katika kipindi hiki cha baridi, zaidi msikilize Bakari Ubena katika makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4JFfB