1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia 21,000 wa DRC wafukuzwa Angola

John Juma15 Oktoba 2020

Maafisa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameripoti kuwa zaidi ya raia 21,000 wa nchi hiyo wamewasili katika jimbo la Kasai baada ya kufukuzwa kutoka Angola. Emmanuel Mbuna ni afisa wa kutoa misaada wa shirika la Caritus

https://p.dw.com/p/3jz6b