1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Radio, chombo cha kueneza amani Kongo

13 Juni 2024

Wanahabari wakimbizi wa ndani nchini Kongo wanatumia redio kama chombo cha kueneza amani na kuwaunganisha mamia ya watoto waliotengana na wazazi wao wakati huu ambapo eneo la mashariki mwa nchi hiyo linakumbwa na mzozo.

https://p.dw.com/p/4gzs6