1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi anayetumia muziki kuhamasisha sheria za barabarani

12 Julai 2024

Maisha ya vijana wa Tanzania yanapotea kutokana na ajali za barabarani kila mwaka. Afisa polisi wa barabarani Gabriel Simon Kayaga ameamua kutumia kipaji chake cha muziki wa kufokafoka ili kutoa elimu kwa watumiaji wa Barabara.

https://p.dw.com/p/4i7Qx