1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Tanzania yawazuia washukiwa 2 wa utekaji nyara watoto

Josephine Karema / MMT9 Septemba 2021

Polisi mkoani mbeya nchini Tanzania inawazuia washukiwa wawili wa utekaji nyara watoto na kuwauza. Kamanda wa polisi katika mkoa huo Ulrich Matei Ulrich amesema washukiwa hao walikamatwa baada ya kupashwa habari na wananchi walioshuku miendendo yao.

https://p.dw.com/p/407WB