1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Pemba yasema hali ni shwari

Sudi Mnette27 Oktoba 2020

Kisiwani Pemba, Zanzibar taarifa za upinzani zinasema watu wapatao watatu wameuawa kwenye kijiji cha Kangagani, kaskazini mwa kisiwa hicho, baada ya kuzuka ghasia zinazohusishwa na zoezi la upigaji kura wa mapema. DW imezungumza na Kamanda wa Polisi wa Kaskazini Pemba, Juma Said.

https://p.dw.com/p/3kUDr