1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Kenya washutumiwa kutumia nguvu kupita kiasi

Musa Naviye HON10 Julai 2023

Idara ya polisi nchini Kenya imeshutumiwa vikali kwa maatumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji Siku ya Sabasaba ambapo watu sita waliuawa katika majimbo ya Kisumu, Kisii na Migori na wengine kadhaa kujeruhiwa. Familia za wahanga na wanaharakati wanataka Kamisheni ya Usimamizi na Uchunguzi wa Polisi ifanye uchunguzi wa kina.

https://p.dw.com/p/4TfYh