1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pendekezo la kuandaa Kombe la Dunia kila baada ya miaka miwili lazusha utata

20 Desemba 2021

Mpango wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA wa kuandaa Kombe la Dunia kila baada ya miaka miwili badala ya mzunguko wa sasa wa miaka minne bado ni suala gumu kwa wadau wa soka. FIFA linaandaa mkutano wa kilele kujadili mpango huo. Saumu Njama amezungumza na Mwanahabari na mchambuzi wa masuala za michezo Ali Hassan Kauleni na kwanza amemuuliza kwa nini shirikisho hilo linapendeza mpango huo?

https://p.dw.com/p/44aOZ