1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Paul Makonda nje, aingia Aboubakari Kunenge, mkuu mpya wa Dar Es Salaam

3 Agosti 2020

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda kwa takriban miaka mitano iliyopita sasa amemkabidhi mkuu mpya wadhifa huo. Makonda aliingia katika siasa lakini pia alishindwa katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya chama cha CCM ili kugombea ubunge. Hawa Bihoga na masimulizi zaidi.

https://p.dw.com/p/3gMN4