1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
FilamuKenya

Paul Kihuha anaboresha tasnia ya filamu nchini Kenya

28 Machi 2023

Paul Kihuha anawezesha Sanaa ya filamu kuimarika Kenya hasa kwa watengeneza filamu. Jamaa huyu ambaye hakumaliza masomo shuleni hutumia vyuma chakavu kuunda vifaa bora vya filamu katika karakana yake ya nyumbani. Vijana Mubashara 77Asilimia inaangazia zaidi juhudi hizo zake.

https://p.dw.com/p/4PNuk