1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS Waziri Mkuu mpya Ufaransa

31 Mei 2005
https://p.dw.com/p/CF8I

Ufaransa imepata waziri mkuu mpya,bwana De Villepin ambaye hapo awali alikuwa waziri wa mambo ya ndani.

Katika mabadiliko aliyofanya katika baraza lake la mawaziri rais Jacques Chirac amemteua bwana De Villepin kushika wadhifa huo kutokana na kujiuzulu kwa bwana Jean Pierre Raffarin kufuatia uamuzi wa wananchi wa Ufaransa kuikataa katiba mpya ya Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni.

.