1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PARIS Moto waua tena nchini Ufaransa

30 Agosti 2005
https://p.dw.com/p/CEgA

Watu wawili wamekufa kutokana na moto uliotokea katika nyumba moja mjini Paris inayokaliwa na wahamiaji kutoka Afrika.

Wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya sana.Moto huo umetokea siku nne baada ya mwingine, ulioua waafrika 17 katika mji huo.

Moto huo pia ulizuka katika nyumba iliyokuwa inakaliwa na wahamiaji kutoka Afrika.

.