1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papo kwa Papo 09.08.2016

9 Agosti 2016

Maafisa 50 wa masuala ya usalama Marekani waonya Donald Trump atakuwa Rais atakayeiendesha Marekani kwa njia hatari katika historia ya nchi hiyo iwapo atachaguliwa. Takriban watu 70 wameuawa katika mashambulizi Pakistan na Rais wa Chad Idriss Deby aapishwa kwa muhula wa tano madarakani.

https://p.dw.com/p/1Jeg3