1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUganda

Pande zinazohasimiana ndani ya chama cha FDC zakutana

Lubega Emmanuel28 Julai 2023

Polisi nchini Uganda imelazimika kufanya kazi ya ziada kudhibiti hali kwenye mkutano wa viongozi wa chama cha upinzani cha FDC, ulioitishwa na baraza la wazee na walezi wa chama ili kuzipatanisha pande zinazozozana kuhusu madai kuwa Rais Yoweri Museveni alitoa pesa kwa baadhi ya viongozi akiwashawishi kukisambaratisha chama chao. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel ametutumia ripoti hii kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/4UWQZ