1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Panda shuka za kilimo biashara nchini Tanzania

Prosper Kwigize (HON)5 Februari 2020

Makala Yetu Leo inaangazia changamoto katika sekta ya kilimo biashara nchini Tanzania hususani eneo la wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, yanakolimwa mazao maarufu ya Chai, Ndizi, Parachichi, Kakao na Kahawa msikilize mwandishi wetu Prosper Kwigize.

https://p.dw.com/p/3XI1Q