1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Operesheni dhidi ya dawa za kulevya Dar es Salaam

Isaac Muyenjwa Gamba/M M T6 Februari 2017

Serikali ya Tanzania kupitia mkoa wa Dar es Salaam imekuwa ikiendesha operesheni dhidi ya wasambazaji na watumiaji wa dawa za kulevya. Watu mbalimbali tayari wameitwa na kuhojiwa ili kuwabaini watuhumiwa wanaojihusisha na dawa hizo. Je, kamepni hiyo imefanikiwa? Isaac Gamba alizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ambaye amekuwa akiendesha operesheni hiyo.

https://p.dw.com/p/2X2k9