1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la watoto njiti nchini Uganda

Ibrahim Swaibu/MMT4 Januari 2021

Nchini Uganda, wizara ya afya inaeleza kuwa kila mwaka watoto njiti 226,000 ndio huzaliwa. Katika makala ya afya yako, leo tunaangazia ongezeko la visa vya kuzaliwa kwa watoto njiti nchini Uganda. Kukuletea Makala hii, ungana na Ibrahim Swaibu.

https://p.dw.com/p/3nUSD