1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la maambukizi ya VVU miongoni mwa makahaba Kenya

29 Agosti 2024

Idadi ya watu walio katika hatari zaidi kuambukizwa virusi vya HIV ambao ni wanawake na wanaume wanaofanya biashara ya ngono, wanaotumia dawa za kulevya na wanaofanya mapenzi ya jinsia moja imeongezeka tangu tathmini ya kwanza ya kitaifa kufanyika 2012. Thelma Mwadzaya analivalia njuga suala hili leo katika makala haya ya Afya Yako. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4k4AE