1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga: Nauheshimu uamuzi wa mahakama lakini sikubaliani nao

Sudi Mnette5 Septemba 2022

Kwa mujibu wa katiba ya Kenya, Rais Mteule William Ruto anapaswa kuapishwa ndani ya siku 7 kutoka sasa. Hata hivyo, muungano wa Azimio la Umoja umesema unauheshimu uamuzi wa mahakama japo haukubaliani nao. Kauli hiyo itakuwa na matokeo gani baada ya ushindi wa Ruto? Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na wakili ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya siasa Bobby Mkangi.

https://p.dw.com/p/4GRQO