1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Odinga adai kutoridhika na mchakato wa uchaguzi

Daniel Gakuba16 Agosti 2022

Muungano wa Azimio la Umoja ambao bendera yake ilipeperushwa na Raila Odinga bado haijaridhika na inasema mchakato wa uchaguzi haujahitimishwa. Je, wana hoja za msingi za kudai hivyo? Sikiliza mahojiano kati ya Daniel Gakuba na mchambuzi wa siasa za Kenya Profesa Chacha Nyaigoti Chacha.

https://p.dw.com/p/4Fauo