1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Obama kuhutubia mkutano mkuu wa Democratic. Nini kitarajiwe?

Babu Abdalla20 Agosti 2024

Rais mstaafu Barack Obama anatarajiwa kuhutubia mkutano mkuu wa Democratic unaofanyika mjini Chicago na siku ya Alhamisi mkutano huo utamteua rasmi Kamala Harris kuwa mgombea wa urais baada ya Rais Joe Biden kujiondoa. Babu Abdalla alizungumza na mchambuzi wa siasa za Marekani akiwa mjini New York Profesa David Monda kuhusu kinachoendelea kwenye mkutano huo mkuu wa Democratic.

https://p.dw.com/p/4jhg0