1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nkurunziza asisitiza hatogombea tena Urais

21 Agosti 2019

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amelihutubia taifa hapo jana, akiadhimisha miaka minne ya muhula wake wa tatu ulioleta utata mkubwa kisiasa nchini mwake. Katika hotuba yake Nkurunziza ameashiria kwa mara nyingine kwamba hatogombea tena urais kama wengi walivyohofia baada ya mabadiliko ya katiba yaliyofanyika mwaka jana.

https://p.dw.com/p/3OGIP