1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nira Ismail: Makutano ya ukimbizi na uandishi wa habari

19 Juni 2024

Naila Ismail anatokea Sudan lakini amekulia kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya, ambako licha ya changamoto nyingi za ukimbizi, amegeuka kuwa mwandishi mkubwa wa habari akijikita kuyatatua matatizo ya wakimbizi wenzake.

https://p.dw.com/p/4hCnY