1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini kinafuata baada ya uchaguzi nchini Afrika Kusini?

3 Juni 2024

Waafrika Kusini sasa wanasubiri kupata serikali mpya ambayo bila shaka haitoongozwa na chama cha African National Congress,ANC peke yake bali itakuwa ni serikali ya mseto. Ni baada ya chama hicho kupata matokeo mabaya kabisa katika historia yake ya kuwepo madarakani. Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa siasa za taifa hilo Nickson Katembo kuhusu kinachofuata.

https://p.dw.com/p/4gZnw