1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini hatma ya raia wa EU Uingereza?

Elizabeth Shoo
16 Agosti 2017

Waingereza walipiga kura ya kile kinachojulikana kama Brexit, yaani kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya. Wasiwasi umetanda miongoni mwa watu wanaotokea nchi za Umoja wa Ulaya. Sheria za Umoja wa Ulaya zinawaruhusu kufanya kazi na kuishi Uingereza. Lakini kama Uingereza itakoma kuwa sehemu ya Umoja wa Ulaya, wafanyakazi kutoka nchi nyingine za Ulaya watafanya nini?

https://p.dw.com/p/2iMD0