1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nigeria yatolewa nje ya kombe la dunia la wanawake

7 Agosti 2023

Nigeria imetolewa nje ya mashindano ya kombe la dunia la kandanda la wanawake huku England ikifuzu kwa robo fainali pamoja na wenyeji Australia. Klabu ya RB Leipzig kumkosa kiungo Amadou Haidara wiki za kwanza za msimu mpya wa Bundesliga. Na kinda wa Marekani Coco Gauff na Dan Evans wa Uingereza washinda mataji katika mashindano ya Washington Open.

https://p.dw.com/p/4Us3Q