1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nigeria yafunga mpaka na mataifa jirani

15 Novemba 2019

Nigeria imeufunga ghafla mpaka wake wa ardhini na nchi jirani za Benin, Cameroon na Niger, na kupiga marufuku biashara zote za kuvuka mipaka hiyo. Swali linaloulizwa sasa ni ikiwa hatua hiyo itaweza kumaliza biashara ya magendo na ghasia hususan katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria.

https://p.dw.com/p/3T6SB