1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni vipi vijana watumia vipaji vyao kuepukana na uhalifu?

Veronica Natalis/MMT29 Mei 2020

Kipindi cha Vijana Tugutuke leo kimetembelea mtaa wa Unga Limited mjini Arusha Tanzania ambapo vijana wanazungumzia vipaji vyao hasa katika muziki na vipi wanavitumia vipaji hivyo kuelimisha jamii, kuepukana na uhalifu na hata kupambana na janga la corona? Veronica Natalis amewashirikisha baadhi yao. Hebu sikiliza

https://p.dw.com/p/3cx5R