1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Ni upi wajibu wa vyombo vya habari wakati wa COVID-19?

Mohammed Khelef Mohammed7 Aprili 2020

Ni upi wajibu wa vyombo vya habari katika kuutaarifu umma kuhusu kirusi cha corona chenye kuleta ugonjwa COVID-19? DW imezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi Habari Uganda katika kipindi cha Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/3aaiH