1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kipi hasa kinachoitatiza Borussia Dortmund?

17 Oktoba 2022

Ushindani katika Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga umekuwa mkubwa mno msimu huu. Tofauti ya pointi kati ya timu ya kwanza na timu hadi kwenye nafasi ya kumi na moja ni takriban pointi moja moja tu. Bayern Munich hawako kileleni mwa ligi hii kwa muda sasa, Union Berlin ndio wanaopepea. Sikiliza uchambuzi wa yanayojiri kwenye Bundesliga kati ya Jacob Safari na nguli Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4IIHa