1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndugai amuomba radhi Rais Samia

Deo Kaji Makomba
3 Januari 2022

Spika Ndugai amesema hakuwa na nia mbaya wakati akitoa kauli kuhusu mikopo ya nchi na kwamba kauli yake ilihaririwa na baadhi ya watu wasio na nia njema wenye lengo la kumchonganisha na Rais Samia Suluhu.

https://p.dw.com/p/455Cw