1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndayishimye aahidi kuwalinda waandishi wa habari

Hamida Issa29 Januari 2021

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameahidi kuwalinda waadishi wa habari dhdi ya vyombo vya dola iwapo watawakosoa maafisa wa serikali. Pia rais huyo ameliagiza baraza la kitaifa la kufuatilia kwa karibu kazi ya uandishi kuanzisha mkakati ili vituo vya redio vilivyofungwa vikiwemo vya kimataifa vilivyofungiwa virudi kupeperusha matangazo yake nchini Burundi. Sikiliza ripoti hii.

https://p.dw.com/p/3oaSf