1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Nchi kadhaa zaondoa raia wake Sudan

26 Aprili 2023

Meli iliyowabeba zaidi ya watu 1,600 kutoka mataifa 50 waliondolewa nchini Sudan kuepuka machafuko imewasili nchini Saudi Arabia leo ikiwa operesheni kubwa zaidi kufanywa na ufalme huo wa Ghuba tangu kuzuka mapigano mjini Khartoum.

https://p.dw.com/p/4Qb0U