1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nape Nnauye aizungumzia CCM kupokea wapinzani

9 Januari 2018

Chama cha mapinduzi CCM nchini Tanzania kimeendelea kupokea wanachama kutoka upinzani, na hii leo kimempokea aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo la Ilala kupitia CHADEMA- Muslim Hassan Ali. Nape Nauye, aliyewahi kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ametoa maoni yake kuhusiana na hatua hii ya kuendelea kupokea wapinzani.

https://p.dw.com/p/2qYRq