1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani zaidi? Bayern Munich au Paris Saint Germain?

Josephat Charo
22 Agosti 2020

Jumapili mashabiki wa soka wataelekeza macho yao katika mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, Champions League, kati ya Paris Saint Germain, PSG, ya Ufaransa na Bayern Munich ya Ujerumani. Mechi hiyo itachezwa Lisbon, Ureno. Tatu Karema anazungumza na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/3hLYv