1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani haruhusiwi kufanya hijama ?

31 Mei 2021

Kulingana na wataalamu wa afya, makundi fulani ya watu hayaruhusiwi kufanya hijama kama wagonjwa wa saratani, wagonjwa walio na maradhi ya moyo, viwango vya chini vya sukari katika damu, wanawake wanapokuwa katika hedhi zao na kadhalika.

https://p.dw.com/p/3uDHg