1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nancy Pelosi awasili Taiwan

3 Agosti 2022

Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi, amewasili Taiwan na kukutana kwa mazungumzo na viongozi wa kisiwa hicho ambao ni rais na naibu spika wa bunge. Pelosi mwenye umri wa miaka 82 aliwasili mjini Taipei usiku wa kuamkia leo, akikaidi maonyo na vitisho vikali vilivyotolewa na China.

https://p.dw.com/p/4F4Dp