1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI:Mpango wa Chakula Duniani wa Umoja wa Mataifa WFP umeonya ...

20 Novemba 2003
https://p.dw.com/p/CFzh
watoto wa shule nchini Kenya huenda wasifike masomoni iwapo wafadhili watashindwa kuchangia dollar millioni 15 kuendeleza utoaji chakula cha bure mashuleni. Tangazo la WFP lilisema yamebakia majuma sita, watoto milioni moja hawataweza kuhudumiwa kwa chakula shuleni. Chakula ni motisha muhimu kwa maelfu kadhaa wa kadhaa ili kuhudhuria masomoni, au shule kama elfu 4 za msingi zitaathirika na kufungwa, - alitamka Tesema Negash, mkurugenzi wa mpango wa WFP nchini Kenya.