1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya wazee katika jamii

Salma Said29 Septemba 2016

Kila mwaka tarehe 1 Oktoba inaadhimishwa siku ya wazee duniani. Salma Said amewatembelea wazee wasiojiweza Zanzibar kufahamu zaidi kuhusu maisha yao na changamoto wanazokutana nazo siku kwa siku.

https://p.dw.com/p/2QjAK

                      

Alte Menschen in Sansibar
Picha: DW/S. Said
Wazee wasiojiweza wanaotunzwa kwenye nyumba za serikali Sebleni na Welezo
Wazee wasiojiweza wanaotunzwa kwenye nyumba za serikali Sebleni na WelezoPicha: DW/S. Said
Wazee sebleni
Mzee Omar Said kwa niaba ya wazee wenzake wa Sebleni na Welezo akimshukuru Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa kuwatembeleaPicha: DW/S. Said