1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya wanawake kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania

11 Agosti 2020

Idadi kubwa ya wanawake wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini humo, ikiwemo ngazi ya urais, baada ya wanawake wawili kujitokeza kugombea nafasi hiyo. Je, elimu ya usawa wa kijinsi katika siasa za Tanzania iimeanza kushamiri?

https://p.dw.com/p/3gmuT