1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa wafugaji kulungu Ulaya na miradi ya nishati endelevu

23 Februari 2022

Katika makala ya Mwangaza wa Ulaya leo Daniel Gakuba anakupeleka kaskazini mwa Ulaya nchini Norway ambapo anaangazia mzozo kati ya wafugaji wa kulungu wa nchi za baridi na miradi ya kuzalisha nishati endelevu inayotumia tabo za upepo. Isikilize makala hii ya kusisimua.

https://p.dw.com/p/47STy