1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa Uturuki na Marekani waendelea

17 Agosti 2018

Uturuki imetishia kujibu ikiwa Marekani itaiwekea vikwazo zaidi kuhusiana na kushikiliwa mhubiri wa Kimarekani, hali ambayo imezusha mvutano wa kidiplomasia na kuathiri kabisa sarafu ya Uturuki ya lira.

https://p.dw.com/p/33J3k