1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa kisiasa wanukia Madagascar

Hawa Bihoga
17 Oktoba 2023

Umoja wa Ulaya na Marekani, ambazo ni washirika muhimu wa kimataifa kwa Madagascar, wameonesha wasiwasi wao juu ya hali ya kisiasa nchini humo, zikilaani "matumizi ya nguvu kupita kiasi" dhidi ya upinzani huku kukishuhudiwa mvutano kabla ya uchaguzi wa rais wa Novemba. Mali Ali akiwa nchini Ufaransa anazungumza na Hawa Bihoga juu ya hali hiyo.

https://p.dw.com/p/4Xcgr