1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa gesi ya Mtwara

4 Januari 2013

Bado suala la usafirishaji wa gesi inayopatikana katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kwenda mji mkuu wa kibiashara wa Dar es Salaam linaendelea kuzua vuta-n'kuvute kati ya serikali na wakaazi wa mikoa hiyo wanaolipinga.

https://p.dw.com/p/17Deu
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania
Rais Jakaya Kikwete wa TanzaniaPicha: dapd

Amina Abubakar amezungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo, juu ya madai ya wakaazi wa mkoa wa Mtwara kuwa ni lazima wafaidike na gesi iliyopatikana huko.