1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwani kutoka baharini hadi kiwandani Zanzibar

25 Oktoba 2023

Kutumia mwani ni jambo la kawaida sana Zanzibar lakini hawa wanawake wa Mwani SkinCare wanatofautiana na wakulima wengine wanaochunga mavuno yao. Mwani unaoingia kwenye tasnia ya urembo ni mradi mzuri visiwani Zanzibar. #KurunziWanawake

https://p.dw.com/p/4Y1lK