1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwangaza wa Ulaya: Mgogoro wa wahamiaji barani Ulaya

Bakari Ubena5 Oktoba 2023

Idadi ya wahamiaji wanaowasili katika Umoja wa Ulaya imeongezeka pakubwa katika miezi ya hivi karibuni, na hivyo kupelekea mataifa hayo kuelemewa na hata wakati mwingine kushindwa kabisa kuwapokea ipasavyo wahamiaji hao. Suala la uhamiaji limeibua pia mivutano kati ya nchi 27 za umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/4XB4O