1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwangaza wa Ulaya: Macron na serikali isiyo na nguvu bungeni

Daniel Gakuba
22 Juni 2022

Makala ya Mwangaza wa Ulaya inaangazia hali ngumu inayomkabili rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika muhula wake wa pili na wa mwisho madarakani, baada ya muungano wake wa kisiasa kufanya vibaya katika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge. Mtayarishaji ni Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4D4fj