1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanasiti mfanyabiashara ngangari

7 Julai 2021

Baada ya kuugua alipojifungua, Mwanasiti alipata nafasi ya kuongeza ujuzi wa kiufundi kupitia mpango wa KYEOP unaowafadhili vijana. Vigezo havihitaji vyeti vyovyote. Ukakamavu wake umemuwezesha kufungua biashara mbili katika muda mfupi na sasa ni muajiri.

https://p.dw.com/p/3wAMD