1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Anaendesha Tuktuk inayomwezesha kuhudumia familia yake

14 Julai 2021

Kutana na Bi. Farida Shenga wa mjini Mombasa, Kenya anayeendesha Tuktuk ama Bajaji, kazi inayoaminika kuwa ni ya mwanamume. Kupitia kazi hiyo amefanikiwa kujipatia rizki na kusongesha gurudumu la maisha ya familia yake tangu alipofiwa na mumewe. Video na Fathiya Omar.

https://p.dw.com/p/3wTHv