1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanaharakati wa usawa Afrika

6 Oktoba 2021

Miss Patty Monroe ni mwanamuziki wa kufoka mwenye kipaji, mkakamavu na aliyejitolea kuondoa mfumo wa kikoloni kwenye mtaala wa elimu Afrika Kusini. Kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia anaeleza ndoto zake kuhusu mustakabali wa Afrika.

https://p.dw.com/p/41LBj